Saturday, 18 June 2016

NAHODHA WA HARAMBEE STARS AKARIBIA KUTUA TOTTENHAM.


Na
Mchezaji Victor Wanyama.
Mwangi K. Githinji.
Tottenham wanakaribia kumaliza uhamisho wa mchezaji wa Southampton na timu ya taifa ya Harambee Stars Victor Mugubi Wanyama.
Inaaminika kuwa Southampton wakamruhusu aondoke ila tu iwapo watalipwa kima cha yuro milioni12 ambacho walilipa wakati ambapo walimsajili kutoka klabu cha Celtic.
Tottenham  walijaribu kumsajili msimu jana mnamo mwezi wa agosti lakini timu yake ikadinda kumuuza.
Iwapo atasajiliwa basi ataungana na aliyekuwa meneja wake wa zamani Mauriccio Pochettino Ronald Koeman huku wakiwa na imani kuwa ujio wake utakipiga jeki kikosi chao.

1 comment:

Mwangikgithinji said...

Naunga mkono uhamisho huo.